Home » » NEWS ALERT: Mhadhiri wa chuo kikuu DSM, College of engineering auawa kwa risasi

NEWS ALERT: Mhadhiri wa chuo kikuu DSM, College of engineering auawa kwa risasi

Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa leo kwa kupigwa na risasi. 



Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwa pikpiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea. 

Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la. 
Jika Anda menyukai Artikel di blog ini, Silahkan Tanzania Mpya untuk berlangganan gratis via email, dengan begitu Anda akan mendapat kiriman artikel setiap ada artikel yang terbit di Hisia za Mwananchi

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Copyright © 2013. Tanzania Mpya - All Rights Reserved
Template Modify by Hisia za Mwananchi
Proudly powered by Hisia